LAPF

LAPF
LAPF

Jumatatu, 13 Desemba 2010

Mazishi ya Doctor Remmy

Msiba wa Dr Remmy Ongara uko nyumbani kwake Sinza kwa Remmy. Mazishi yake yamepangwa kuwa Alhamisi 16 December 2010, mida ya mchana. Kabla ya hapo mwili utaagwa Muhimbili asubuhi kisha kupelekwa nyumbani kwake Sinza ambako kutakuweko na Ibada ya mwisho kabla ya kumuaga tena na kuelekea katika makao yake ya mwisho Sinza makaburini.
Kwa wale ambao wangependa kutoa rambirambi wawasiliane na Mzee Makassy kwa simu namba +255655392050 au +255767392050. 

Kifo hakina huruma....Dr Remmy Ongala

Maoni 6 :

SIMON KITURURU alisema ...

R.I.P!

Bila jina alisema ...

Mungu amlaze Dr Mahali pema ndio dunia,pole kwa familia yake.

Gwalugano alisema ...

Atakumbukwa daima SAUTI YA MNYONGE.
Poleni nyote kwa msiba huu mzito

Simba Deogratias alisema ...

Rest In Peace Dr Remmy Ongalla. We will always cherish and treasure your great contribution to the growth of music as an art in Tanzania and Africa in general.

Bila jina alisema ...

Mwenyezi Mungu,Mlaze mahala pema peponi Ramadhani Mtoro Ongara.
R.I.P Remmy Ongara
Amin

wadau
Ngoma Africa Band

Aliko alisema ...

Rest in peace