LAPF

LAPF
LAPF

Jumanne, 14 Desemba 2010

Ratiba mpya ya mazishi ya mwanamuziki Dr Remmy Ongala

Ratiba mpya imetolewa ya mazishi ya Dr Remmy Ongala ili kuwezesha watu wengi zaidi kumuaga rafiki yao mpendwa.
Mazishi yatakuwa siku ya Alhamisi tarehe 16 December 2010.
Saa 4 asubuhi...mwili utatoka Muhimbili na kupelekwa katika viwanja vya Biafra Kinondoni B, ambapo kutakuweko na Tamasha la muziki wa Enjili na wa kawaida, na pia ibada itafanyika. Watu wote wataaga mwili hapa.
Saa 8 mchana...mwili utapelekwa nyumbani kwake Sinza
Saa 10 Jioni..... mazishi Sinza makaburini

Hakuna maoni: