LAPF

LAPF
LAPF

Jumamosi, 18 Desemba 2010

Ratiba ya mazishi ya mwanamuziki na meneja wa African Stars Band Abou Semhando

Abou Semhando wa kwanza kulia akiwa na miwani kwenye shughuli ya kuaga mwili wa marehemu Remmy Ongala. Abuu alikuwa mmoja kati ya waendesha pikipiki waliokuwa wakiongoza msafara wa mazishi ya marehemu Remmy Ongala. 

Ratiba ya  Mazishi ya mwanamuziki na na meneja wa Bendi ya African Stars-Twanga Pepeta  Marehemu Abou Ally Semhando “BABA DIANA”
·         Jumamosi 18/12-ndugu na jamaa kukusanyika nyumbani kwa marehemu, Mwananyamala Kisiwani(Ngilangwa) kwa ajili ya kutoa pole na kuwafariji wafiwa.
·         Jumapili 19/12-Saa11 Swala ya alfajiri katika msikiti wa Muhimbili, baada ya swala waombolezaji kuingia katika magari na kuelekea kijiji cha Kibanda, Muheza tayari kwa mazishi.
·         Mara baada ya chakula cha mchana mwili kupelekwa msikiti wa Muheza nabaada ya swala mwili kupelekwa makaburini kwa maziko.
·         Waombolezaji watarejea Dar es Salaam baada ya maziko.

Hakuna maoni: