LAPF

LAPF
LAPF

Ijumaa, 18 Machi 2011

Msondo Vs Sikinde katika video

Hivi ndivyo mambo yalivyokuwa katika shughuli hiyo
.Msondo Ngoma..Fatuma

Sikinde..Hiba

Maoni 2 :

Bila jina alisema ...

Clip ya pesa ni nzuri ila DeDe ameharibusana kwa kutokufuata maadili ya wimbo . ameuharibu sana angeimba kama alivyoweka sauti kwenye original.
Mzee mabera nae kajitahidi kiasi maana ameshindwa kufanya alivyofanya Mponda.

Bila jina alisema ...

Wameuimba vizuri sana hauna tofauti na original. ukizingatia Dede alikua na siku mbili tu Msondo kajitahidi sana ku-cope