LAPF

LAPF
LAPF

Jumatano, 30 Machi 2011

Mzee Muhidin Maalim Gurumo Mzee gurumo anaumwa sana, tumuombee

Mzee Gurumo amelazwa Muhimbili hali yake si nzuri

Maoni 5 :

Bila jina alisema ...

Heri Gombera

Mwenyezimungu ampe nafuu apone haraka. Inshallah

Bila jina alisema ...

Mzee Gurumo ni moja treasure ambayo Tanzania tumebaki nayo,naomba Ndugu zangu tumuombee Mzee wetu Mwenyezi Mungu ampe afya njema.

/ Vumbi Dekula Sweden

Bila jina alisema ...

Toka post hii iwekwe, hatujapata taarifa zaidi kuhusu hali ya Gurumo. Hivi anaendeleaje?

John F Kitime alisema ...

Hali ya Mjomba Gurumo imeimarika kidogo, lakini japo ameruhusiwa kutoka hospitali hali yake bado si nzuri

Bila jina alisema ...

mzee guroma anaumwa na nani sana? Na hali inaendeleaje mpaka hivi sasa?