LAPF

LAPF
LAPF

Ijumaa, 15 Aprili 2011

Embalasasa

Unakumbuka mtindo wa King Kiki wa Embalasasa Stop shika Brek?Mwangalie hapa akicheza mtindo huo uliokuwa raha kuangalia enzi za Double O

Maoni 2 :

Bila jina alisema ...

nakumbuka sana wakati wanapiga Super Mini Bar Temeke. Nilikuwa mdau na mara kwa mara nilikuwa nadoea gari la Dk Aleex Khalid ambaye inadaiwa alifadhili bendi na alikuwa mmiliki wa Makondeko club. ni miaka ya 1983/86. Kiki anajua sana kuwa nilikuwa mpenzi wao.,

Bila jina alisema ...

jitaje jina basi