LAPF

LAPF
LAPF

Ijumaa, 15 Aprili 2011

NUTA JAZZ BAND bendi ya Chama cha wafanyakazi

 NUTA Jazz Band, bendi ya Chama cha Wafanyakazi Tanzaniailianzishwa mwaka 1964. Msondo Ngoma Group ambayo leo hii hujulikana kama Msondo ni matokeo ya Bendi hii. Habari zake zaidi zinakuja. Pichani ni NUTA Jazz Band ikiwa jukwaani baadhi ya sura maarufu ni Abel Barthazar(RIP), watatu toka kushoto na gitaa, waimbaji ni Ally Akida,Muhidin Gurumo na John Simon Maoni 2 :

Perez alisema ...

"Nidhamu ya kazi, ni msingi,
wa mafanikio mema kaziniee,
viongoozii, na wafanyakaziii,
lazima wote tuwe na nidhamu...."

..Migogorooo, na migongano,
ya kazini ni ukosefu wa nidhamu x2.

Viongozi pia wajibu wenu mkubwaaa,
ni kuulindaa, heshima x2,

Na kudumishaaa, nidhamu ya kaziii.

eee JUWATA ee.."

Bichuka huyo Mwanangu.
Yaani. We acha tu!

Eee bwana Kitime nani alipiga lile Solo na Rhythm humo?
Yananiacha hoi sana hayo magitaa kwenye huo wimbo.

Bana alisema ...

it was a very nice song, Bitucha and Ngurumo are the fathers of Tanzania music, we grew up with theirs voices from std i up to university and beyond, bravo our icons