LAPF

LAPF
LAPF

Jumatano, 25 Mei 2011

wanamuziki wakongwe waendelea na mazoezi

Mazoezi makali yanaendelea kwa kutengeza kibao kipya kinachozungumzia miaka 50 ya Uhuru.

Waziri Ally na Kanku Kelly
Ally Adinani kwenye rythm

Hamza Kalala na King Kiki

Ally Adinani na Juma Ubao aka King Makussa

Abdul Salvador Kanku kelly

Mafumu Bilali na King Dodo aliyetembelea mazoezi

Waziri Ally Kissinger

Bob Rudala aliwatembelea wazee aona kama wanahitaji mtu wa kutumwa soda

Maoni 1 :

Bila jina alisema ...

Laiti hii serikali yetu ya kipuuzi ingekuwa ina akili, ingehakikisha mziki old skul unasimamiwa na kuhakikisha vijana wa leo wanajifunza mziki wa kweli. Ila ukiwa na rais brazameni na na mawaziri machekibobu, mwisho wake ni kuona watu wenye zaidi ya miaka 60 wanashabikia bongofleva ambayo ni miziki ya kukopikopi tu toka nchi za magharibi. Matokeo yake hawa wazee wanaondoka na ujuzi wao. Kama unabisha jiulize nani katika vijana ni kama marehemu Remmy Ongala au Marijani au Mwishehe au hata kijana mwenzao wa zamani kama Jerry Nashon? Nchi ya kihuni siku zote huzaa matokeo ya kihuni pia kwa sababu inaongozwa na wahuni. I am done with this country already!!!