LAPF

LAPF
LAPF

Jumatatu, 6 Juni 2011

Watangazaji wakongwe nao waanza kukutana

John Ndumbalo mwenye tshirt ya orange
Watangazaji wakongwe wakiwa na sound engineers wakongwe nao wameanza kukutanika wakiwa na kauli mbiu yao ikisema ' WE WILL NOT BE BURIED ALIVE', leo walikuja kushuhudia mazoezi ya wanamuziki wakongwe. Ilikuwa ni furaha maana wote walikuwa akifahamiana si muda mrefu mazungumzo yalirudi kwenye enzi zileeeeee. John Ndumbalo ambaye alirekodi mamia ya nyimbo ambazo ni maarufu mpaka leo kwanza akiwa Radio Tanzania Dar es salaam na kisha Tanzania Film Company alikuweko.

Hakuna maoni: