LAPF

LAPF
LAPF

Alhamisi, 7 Julai 2011

Ulikuwa mpenzi wa Lipua lipua?

 
Kama ulikuwa mpenzi wa lile kundi maarufu la Orchestra Lipua Lipua lazima unamkumbuka mpiga bezi wa bendi hiyo alikuwa akitajwa karibu katika kila nyimbo. Kwa muda mrefu sasa yuko Dar es Salaam. Je, unamkumbuka alikwa anaitwa nani? Picha yake hiyo hapo juu, kwa sasa huwa anapiga na King Kiki na Wazee Sugu

Maoni 4 :

emu-three alisema ...

Alipwa lipwa mbelembele..ooh mama yeeyee...anaitwa nani vile, aaah, ngoja kidogo nimkumbuke!

Bila jina alisema ...

Waaaaao! Mimihadi leo nikisikia muziki wa lipualipuabasi nerve zote za mwili husisimuka sana.

Bila jina alisema ...

Hata mimi nilikuwa mpenzi wa Lipua lipua na ndiyo nilitumia sana nyimbo zao katika kujifunza kupiga gita,ila huyu mpiga bass simkumbuki nawakumbuka kama akina Vata Mombasa,Mongoley,Nzaya Nzayadio,lusuama,Benazoe Mbuta(sax),Mbakidi(vocal)(Aliyeimba Lossa)nk.kwa hiyo mkuu Kitime hapa naomba msaada tutani,yaani nifahamishe jina la huyu mpiga besi.
Abbu Omar,Prof.Jnr(mwanamuziki)Tokyo,Japan.

Bila jina alisema ...

Kitime bilashaka ni Barl baliento.Hapa Ujerumani tunaye Lusuama Aspro, Nzaya anaishi London