LAPF

LAPF
LAPF

Alhamisi, 25 Agosti 2011

Maquis wakiwa katika show yao moja jijini NairobiMbombo wa Mbomboka akifuatiwa na Adios, na mwisho Audax, kwa nyuma na Sax ni Mzee Chinyama


Maoni 2 :

Maalim alisema ...

Bwana Kitime, Nakushukuru kwa hii kumbukumbu. Mimi nilikuwa mwanafunzi wa Form 4 Nairobi wakati huo, na babangu alikuwa mpenzi wa muziki wa Maquis. Walikuwa na show zao Hoteli ya Aquarius mtaani Parklands(haipo kwa sasa), karibu sana na nyumba yetu, Mtindo wao wakati huo uliitwa 'La Rhythme Bidundadunda'. Ripoti ya show zao pamoja na picha zilikuwa magazetini. Nimeishapoteza nakala yangu ya picha lakini.
Ahsante.
Ndugu Ben, Raleigh, NC

Bila jina alisema ...

Bw. Kitime wewe NOMAAAAA! Keep it up na Mungu azidi kukulinda daima.