LAPF

LAPF
LAPF

Jumamosi, 20 Agosti 2011

Nyimbo za Fauvette

Hili ni cover la nyuma la santuri mojawapo ya Fauvette, unazikumbuka nyimbo hizi? Kati ya ambazo zilishika chati ni Jacqueline, uimbaji ulikuwa safi sana.Vivi kilikuwa kibao kingine murua na nyuma yake ilikuwa Chacha moja kali Monte Ardento.Camarade ya nzela, Malinda, Mama nakupenda unipe mapendo, ukinacha kumbuka kweli sina rahaa.................Those were the days

Hakuna maoni: