LAPF

LAPF
LAPF

Alhamisi, 25 Agosti 2011

Wajue Fauvette

Marehemu Ndala Kasheba na King Kiki

Ganda la Santuri ya Fauvette ikitangaza santuri zao nyingine

Waliosimama toka kushoto- Leornard(Second solo/Keyboards), Gustav Mwana(Drums), Johnson(Trumpet/vocals), Marchel Chimponda(Saxaphone), Gigi(Bass), Jojo Kabala(Vocals), Ndala Kasheba(Solo Guitar), Motoo(Tumba). Waliokaa toka kushoto-Baziano Bweedi(Vocals), Monga Stan(Rythm guitar), King Kiki(Vocals).

Maoni 3 :

Bila jina alisema ...

Mkuu Kitime asante kwa kutukumbusha enzi za Fouvette,nakumbuka tulipokuwa wadogo tulikuwa na rekodi player nyumbani naukumbuka wimbo wa bendi hii tulioupenda
"Fransisca"yaani tulikuwa na santuri zao,Pia nilipotembelea Dar Feb.2010 siku moja tulikuwa tunakunya soda pale Steears opp.British Library mjini,tulikuwa na mzee wetu mzee Njenga na bahati King Kikii alikuwa akipata kahawa pale na nikamsalimia na kum introduce kwa mzee wetu
hapo hapo mzee akamwambia Kikii kuwa mimi nakujua wewe tangu enzi za Fauvette
mkiingia Tanzania(Tabora) toka Kongo mkiwa vijana,Kikii alifurahi sana na akasema kweli wewe mzee unatujua vizuri.
kwa kweli hiyo ni historia nzuri.
Abbu Omar,Prof.Jnr.Tokyo,Japan.

Bila jina alisema ...

Bahati mbaya sijawahi kusikia nyimbo za hawa watu/jamaa kwani bado nilikuwa mdogo sana. Ila Mze Kitime kama una nyimbo zao tafadhali tuwekee tusikilize per their permission. Ahsante sana.

Mlevi alisema ...

Huyo King Kiki jumamosi iliyopita me nimekwenda Laprima, nimelipa hela zangu kumbe mwenyewe hayupo kasafiri wako vijana wake tu wanatupigia mamndombolo tu. Nilichukia.

Mzee Kiki tunapokuja Laprima tunakufuata wewe na zile za zamani Jakeline na Fransiska sio hayo mandombolo.

Tukiyataka hayo mandombolo kwani si tunakwenda tu Makumbusho?

Aaaa! Unatubowa bana!