LAPF

LAPF
LAPF

Ijumaa, 30 Septemba 2011

Kasaloo Kyanga na Kyanga Songa


Maoni 5 :

seneta wa msondo alisema ...

kaka kitime kaka kitime chonde chonde nyimbo za tancut jamani...hatuzipati mtandaoni kabisa,bendi nyingine zote safi kasoro tancut na bima lee magnet tingisha,tafadhali msaada tutani

thanx

Bila jina alisema ...

Mkuu Kitime asante sana kwa kutuletea kumbukumbu nzuri ya muziki wetu wa dansi TANZANIA,Tuombe mungu at least irudi enzi kama hii ambapo ukisikia bendi ni bendi hasa yaani timu iliyotimia na siyo siku hizi ni mashine na play back tupu,matokeo yake kunakuwa na wimbi kubwa la wanamuziki ambao wanapata sifa kubwa bila kutumia vipaji kama ionekanavyo katika video hizi,kwa kweli inasikitisha sana kuona muziki Tanzania unapotelea hivi hivi,Mimi nina imani kubwa kuwa enzi hizi zitakuja kurudi tu.
Abbu Omar,Prof,Jnr(Mwanamuziki)Tokyo,Japan.

Bila jina alisema ...

Hivi Kitime wimbo huu ailyepiga solo ni Kibambe Ramadhani?

JFK alisema ...

Ndio ulipigwa solo na Kibambe Ramadhani

Bila jina alisema ...

Asante mkuu. Mimi miaka yote nilijua aliyekung'uta solo katika kibao hiki ni Kawele Mutimanwa. Endelea kutuelimisha.