LAPF

LAPF
LAPF

Alhamisi, 5 Julai 2012

Kilimanjaro Band inakaribia kusherehekea miaka 40 ya kuwemo katika ulimwengu wa muziki... cheki video yao ya karibuni
Kinyaunyau ni kati ya nyimbo za Kilimanjaro Band ambayo imekuweko katika chati kwa miaka mingi. Hapa bendi ikiwa katika hafla iliyotayarishwa na serikali ya Tanzania wakati wa mkutano wa benki za Afrika...Ngurudoto Arusha

Maoni 1 :

Sam Mnkande alisema ...

Duh safi sana Kitime. Njenje bado vile vile au sio, big up sana. We love it