LAPF

LAPF
LAPF

Alhamisi, 12 Julai 2012

Video ya Mlimani Park wakiwa jukwaani kwenye Afrika-Festival Hertme, Netherlands 2007


Maoni 1 :

Bila jina alisema ...

jamani nyimbo za zamani ilikuwa nzuri sana lakini nasikitika kuona hali ya hawa vijana wa zamani kama wanavyojiita sioni kama wako vizuri sana kimaisha japo sio mbaya sana lakini ingekuta wenzetu wa nchi za nje hawa jamaa wangekuwa mbali sana kweli ya kale dhahabu big up it mlimani park asnte mwenye blog kutuwekea zilipendwa