LAPF

LAPF
LAPF

Ijumaa, 17 Agosti 2012

KONYAGI YADHAMINI MSONDO NA SIKINDE WAKATI WA IDD

MSONDO NA SIKINDE KUPIGA PAMOJA IDD MOSI NA IDD PILI
IDD MOSI BENDI HIZI ZITAPOROMOSHA MUZIKI WA PAMOJA KATIKA VIWANJA VYA LEADERS CLUB KINONDONI.
IDD PILI WAKONGWE HAWA WATAKUWA PAMOJA GYMKHANA CLUB ZANZIBAR...HUU MOTO MKALI

Hakuna maoni: