LAPF

LAPF
LAPF

Ijumaa, 24 Agosti 2012

Msondo kazini

Kila Ijumaa Msondo Ngoma huwa Leaders Club , jana nilipita kuwasikiliza wakongwe. Kama kawa hawakuniangushaMaoni 3 :

Kisondella, A.A alisema ...

Mzee Kitime

Thanks for your post,

Picha namba nne toka juu; Namuona kama vile ni Mustafa Hamisi "Pishuu". Is he back into the music game?. Nipeni Mwongozo

Kisondella - Mafinga (Iringa)

JFK alisema ...

Yes Pishuu yuko kazin mkuu. Na kila Ijumaa wanakuwa Leaders Club Kinondoni kuanzia saa 12 jioni

Kisondella, A.A alisema ...

Good to hear, the veteran musicians come to scene. Nasikia Abdallah Gama pia ndani ya nyumba kule - Sikinde. naomba tu mwenyezi Mungu awapiganie katika shwetani "Ulabu" - adui mkubwa wa vipaji vyao vilivyotukuka katika gita la rythm

Kisondella