LAPF

LAPF
LAPF

Jumatano, 19 Septemba 2012

OTIS REDDING AKIIMBA LIVE 'MY GIRL"

Bendi nyingi sana za vijana zilikuwa zikiupiga wimbo huu mzuri. Wimbo huu umeimbwa na watu wengi na vikundi vingi, lakini katika miaka ya 70 bendi za vijana za Tanzania zilikuwa zikiiga version hii ya Otis Redding

Maoni 1 :

Bila jina alisema ...

KAKA Kitime naomba tujuze mtu mmoja alikuwa akiitwa Maklini nadhani alikuwa akipiga rythim Dar Jazz yupo wapi?
Stambuli wa global