LAPF

LAPF
LAPF

Jumamosi, 3 Agosti 2013

MWANAMUZIKI MKONGWE HAGAE KAUZENI HATUNAE TENA

Mwanamuziki wa zamani wa Biashara Jazz na JUWATA JAzz Band Hagae Kauzeni hatunae tena. Kwa maelezo ya Mwanamuziki Bonzo Kwembe, marehemu amekuwa anaugua kwa kipindi cha mwezi mmoja. Hagae amefariki leo Visiga Kibaha. Na mipango ya mazishi inafanyika ili mazishi yawe kesho Kibaha Mnemera. Mungu Amlaze pema peponi

Hakuna maoni: