LAPF

LAPF
LAPF

Jumapili, 13 Aprili 2014

MZEE MUHIDIM MAALIM GURUMO (MJOMBA) HATUNAE TENAMwanamuziki muimbaji wa miaka mingi Mzee Muhidi Maalim Gurumo hatunae tena. Mzee Gurumo amefariki alasiri hii katika hospitali ya Muhimbili alikokuwa amelazwa kwa matibabu. Mungu amlaze Pema Peponi Amin

Hakuna maoni: