LAPF

LAPF
LAPF

Jumanne, 20 Mei 2014

EXCLUSIVE- MANGELEPA LIVE ENZI ZAO HAPA WAKIPOROMOSHA EMBAKASSY

NI BAHATI SANA KUWEZA KUPATA VIDEO ZA ENZI BENDI ORCHESTRA MANGELEPA WALIPOKUWA JUKWAANI. NI VIDEO YENYE MAFUNZO MENGI KWA BENDI ZA ZAMA HIZI, JINSI WATU WACHACHE AMBAVYO WALIWEZA KUPOROMOSHA MUZIKI ULIOPANGIKA NA KUTOA SHOW NZURI. NI VIDEO TAMU KWA WAPENZI WA MUZIKI WA DANSI WA ENZI HIZO.....

Maoni 1 :

Bila jina alisema ...

Yes. Hii ni Mangelepa ya mwanzo. Waimbaji kutoka kushoto ni Badibanga Tshilumba 'Kai Kai', Kalenga Nzaazi 'Vivi' na Kabila Kabanze 'Evani'. Solo anapiga Bwamy Walumona 'Le Capitaine', ambaye baadae aliondoka kwenda kuanzisha Viva Makale.